Mwandishi Wetu,daimatznews@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan (pichani chini), amefanya uteuzi na uhamisho wa Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri.
Taarifa iliyotolewa na Ikulu Septemba 29, 2026 iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Bakari Machumu, imemnukuu Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk.Moses Kusiluka ikieleza lengo la Rais katika uamuzi huo ni kuboresha utendaji kazi wa Serikali kutokana na baadhi ya viongozi kustaafu kazi.
Majina ya wateule hao ni soma hapa chini:








Chapisha Maoni