BEI MPYA KIKOMO YA PETROLI MWEZI MACHI 2026 HII HAPA

-Dar yauzwa 2,864, Katoro 3,124

Mwandishi Wetu, daimatznews@gmail.com

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo ya mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, zitakazoanza kutumika  leo Machi 4,2026 saa 6 siku, huku bei ya chini ya petroli ikiwa kwa Sh2,864 kwa lita na dizeli Sh2,858 jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Dk. James Mwainyekule

Kwa mujibu EWURA, bei kikomo ya juu ya petroli ni Sh3,124 na dizeli Sh 3119 Katoro mkoani Kagera, ambapo bei ya juu zaidi ya mafuta ya taa ni Sh3,193 Katoro, huku bei ya chini ni Sh2,932 kwa lita moja.

Zaidi soma jedwali la EWURA hapa chini kupata bei za mafuta kwa maeneo mengine nchini

















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Sanamu ya Bikira Maria yaonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa Saadani

Kapteni Traole afuata huduma za afya nchini

Wawekezaji wa Oman watua nchini, wateta na NHC kuchochea mapinduzi sekta ya makazi