Matokeo Kidato cha nne 2025, haya hapa

 Mwandishi Wetu

Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA), limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne wa mwaka 2025, uliofanyika Novemba mwaka jana.


Kwa matokeo ya kijana wako, binti yako, jamaa au wewe mwenyewe, fuata kiunganishi hapa chini;   https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/results/s4213.htm

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi