Samia asamehe 1,036

 Mwandishi Wetu, daimatznews@gmail.com

Katika kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara,leo Desemba 9,2025, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha kwa wafungwa 1036 walio katika magereza mbalimbali nchini.

Rais Dk.Samia Suluhu Hassan

Msamaha huo unawagusa wafungwa wenye makosa mbalimbali walioonyesha tabia njema.

Zaidi soma taarifa kamili hapa chini;





  

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi