Waziri Mkuu ateta na Katibu Mkuu TEC
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima.
Waziri Mkuu, Dk.Mwigulu Nchemba(Kulia), akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC), Padri Charles Kitima.
Wawili hao wamekutana katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.
Maoni
Chapisha Maoni