Wahariri wampongeza Machumu

 Mwandishi Wetu, daimatznews@gmail.com

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limempongeza Bakari Machumu kwa kuteuliwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.

Taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Deodatus Balile, imemtaja Machumu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa TEF, imeeleza kuwa mteule huyo ni mchapa kazi.

Taarifa zaidi ya TEF hii hapa...; 


 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Sanamu ya Bikira Maria yaonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa Saadani

Kapteni Traole afuata huduma za afya nchini

Wawekezaji wa Oman watua nchini, wateta na NHC kuchochea mapinduzi sekta ya makazi