Naibu Spika Zungu meza kwa meza kusaka kura

 

Naibu Spika Mussa Azzan Zungu, akipita kwa wafanyabiashara, meza kwa meza Mtaa wa Mkwepu, jimboni Ilala, kusaka kura za Mgombea Urais wa CCM, Dk.Samia Suluhu Hassan, Mbunge, yeye Zungu, na madiwani wa CCM, muda huu, Oktoba 15,2025


Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi