Picha mbalimbali zikionyesha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) na Naibu Waziri wake, Mhandisi Maryprisca Mahundi wakipongezwa baada ya kupitishwa kwa Bajeti, Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma leo, Mei 16, 2024.
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa(kulia), akimpongeza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb), baada ya wabunge kupitisha Bajeti na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo, Mei 16, 2024 bungeni Dodoma. |
 |
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akimpongeza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kushoto), baada ya wabunge kupitisha Bajeti na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo, Mei 16, 2024 bungeni Dodoma |
 |
Pichani juu na chini; Mawaziri na wabunge mbalimbali wakimpongeza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) na Naibu Waziri wa Wizara, Mhandisi Maryprisca Mahundi baada ya kupitishwa kwa Bajeti na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma, leo Mei 16, 2024. |
0 Maoni