Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Papa Fransisko atangaza Mafinga Jimbo jipya Katoliki

 Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Fransisko, ameongeza eneo la utawala ndani ya kanisa hilo Tanzania, kwa kutangaza Jimbo jipya Katoliki la Mufindi, huku akimteua Padre Vincent Cosmas Mwagala(pichani chini) kuwa askofu wa kwanza wa jimbo hilo.

Askofu Mteule Cosmas Mwagala wa Jimbo Katoliki la Mufindi

Taarifa ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), iliyotolewa leo Desemba 22 na kusainiwa na Katibu Mkuu wake, Padre Charles Kitima imeeleza hayo, ikimtaja Askofu Mteule Mwagala mwenye umri wa miaka 50 kuwa ni mzaliwa wa Makungu wilayani Mufindi katika Jimbo Katoliki la Iringa.

Zaidi soma taarifa ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) chini;

 


Chapisha Maoni

0 Maoni