RAIS SAMIA AONYA WENYE MATENDO YA KIGAIDI

-AWATAJA WANAHARAKATI WANAOSAKA UMAARUFU DUNIANI

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amewaonya watu wanaojiita wanaharakati wakitafuta umaarufu duniani, lakini matendo yao ni ya kigaidi.

Dk. Samia ametoa onyo hilo leo Julai 9, 2026 mjini Zanzibar akisema:  jina ili wapate kutambulika duniani, lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi.”

Alikuwa akizungumza baada ya utoaji wa Tamko la Pamoja na utiaji saini wa Agenda za Kuchukuliwa Hatua baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT Wazalendo, ili kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.

Post a Comment

Mpya zaidi Nzee zaidi