Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Furaha ya Bibi na wajukuu; Rukwa inaruka kwa maendeleo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akifurahia jambo na wanafunzi waliohudhuria hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa,  hafla iliyofanyika  Kijiji cha Mtindilo Laela mkoani Rukwa leo Julai 17, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa kwenye hafla iliyofanyika katika Kijiji cha Mtindilo, Laela mkoani humo leo Julai 17, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni