-Sasa chumvi wauziwa Sh1,500
Mbunge wa Ulanga, ameishambulia Tanroads kwa kushindwa kutimiza wajibu wake kukarabati barabara, hivyo kuwaletea adha wananchi wa jimbo hilo iliyosababisha kupanda kwa gharama za maisha hata kununua kilo ya chumvi kwa shilingi 1,500 sasa.
Zaidi fuatilia linki hapo chini
https://youtube.com/watch?v=kXBB06uSHI4&si=8xFfe0bpguIdXdpF
0 Maoni