RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMKARIBISHA RAIS WA NAMIBIA IKULU DAR
Picha mbalimbali zikionesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alivyomkaribisha Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah Ikulu muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara rasmi, leo Mei 20, 2025.
Maoni
Chapisha Maoni