Mkurugenzi TASAF alivyopiga hodi Arumeru

 1.Mkurugenzi TASAF alivyozungumza na wananchi

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Shedrack Mziray akizungumza na wananchi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Oldonyowasi iliyopo Arumeru mkoani Arusha, ambao ni wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini  (hawapo pichani), baada ya kutembelea shule hiyo ambayo imejengwa na mfuko huo.


2. Wanakijiji wakimsikiliza

   Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Oldonyowasi, Arumeru mkoani Arusha, ambao ni wanufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini,  wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, Shedrack Mziray (hayupo pichani), alipowatembelea kijijini hapo Julai 15,2024.

3. Shule iliyojengwa na TASAF

Sehemu ya madarasa ya Shule ya Sekondari Oldonyowasi iliyopo Arumeru mkoani Arusha, yaliyojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii, TASAF.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Sanamu ya Bikira Maria yaonekana ndani ya Hifadhi ya Taifa Saadani

Kapteni Traole afuata huduma za afya nchini

Wawekezaji wa Oman watua nchini, wateta na NHC kuchochea mapinduzi sekta ya makazi