Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Rais Samia atunukiwa udaktari wa uchumi Uturuki

 

Rais Samia Suluhu Hassan, akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika chuoni hapo Aprili 18, 2024.



Chapisha Maoni

0 Maoni