Chama cha ACT Wazalendo kimeanza safari kuliwania tena Jimbo la Uwakilishi
Mtambwe, kwa kumteua Dk. Mohammed Ali Suleiman pichani chini, kuwa mgombea wa kiti hicho.
Tayari Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imetangaza tarehe 28 Oktoba kuwa ndiyo
siku ya uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwakilishi
wake, Habib Mohammed Ali, Machi 3, mwaka huu.
0 Maoni